mixxt

Sign up here for free!

Welcome to mixxt!

maisha ya wanadamu

News

maisha ya wanadamu

habari zenu ndugu zangu kwa mara ya kwanza nimehamua kuzungumzia maisha ya wanadamu kiukweli kwenye dunia hii kuna aina nyingi za mtu kuishi apendavyo au asivyopenda lakini kuishi ni majaaliwa ya mwenyezi mungu.duniani kuna watu wa namna mbili ambazo ni matajiri(mabwenyenye) na watu masikini(hoehoe) na watu walio wengi ni masikini kulingana na utafiti unaofanywa na viongozi wetu basi tujiulize kwanini tunakuwa masikini najua watu wengi mnajiuliza hivyo kutokana na utafiti niliofanya watu wengi wanakuwa masikini kutokana na hali halisi ya nchi yetu pamoja na kujituma kwao............inaendeleaaa wiki ijayo 

Created by blasio kajuna on 29/08/2014 09:29

Sign in here

Not a member of this network?

Alternative logins

You can use an account of a third party.

Network details

 • Search for:

 • Network name

  kajuna
  network solutions

 • Your host is

  blasio kajuna

 • Created on

  26/08/2014

 • Members

  3

 • Language

  English